Matumizi ya jazanda katika uwasilishaji wa mashairi ya Euphrase Kezilahabi na Kithaka wa Mberia

Authors

Keywords:

jazanda, Euphrase Kezilahabi, Kithaka wa Mberia, ushairi

Abstract

Makala hii imechunguza mtindo wa jazanda na viwango vya jazanda vilivyotumika katika kusawiri mashairi yenye maudhui ya ukoloni mamboleo na uchumi. Aina mbalimbali za jazanda zimechanganuliwa kwa kuzingatia maana inayojitokeza. Mashairi ya Kezilahabi na Mberia ndiyo yamezingatiwa. Utafiti huu umezingatia uainishaji wa wataalam hawa wote ili kubaini ufanano na utofauti uliopo kimtindo katika uwasilishaji wa mashairi huru ya Kezilahabi na Mberia. Nadharia ya Mtindo ilitumika katika utafiti wa kazi hii. Nadharia hii iliasisiwa na Buffon (1930) na kuendelezwa na Leech (1969). Mbinu ya usomaji wa maktabani ilitumika katika ukusanyaji wa data. Matokeo yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo. Utafiti huu ni muhimu kwa wanafunzi wa shule na hata kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Makala hii inasaidia mwanafunzi kuweza kubaini aina mbalimbali ya jazanda na ishara wasilishi za jazanda.

Dimensions

Allen, G. 2000. Intertextuality: New York: Routledge 29 West 35th Street.

Arnold, M. 1849. The strayed Reveller and other Poems. Fellowers; Ludgate Street.

Babusa, H.O. 2005. Vigezo badalia kuhusu uainishaji wa mashairi ya Kiswahii. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu Cha Kenyatta. (Haijachapishwa)

Bakhtin, M. 1981. Theory of the text. London: Routledge.

Coombes, H. 1953. Literature and Criticism. London: Chatto and Windus.

Culler, J. 1982. The Pursuit of signs. London: Rotledge and Kegan Paul.

Hartman, C, 1980. Free Verse: An essay on prosody. London: Princeton University Press Atlanta

Heidigger, M. 1971. Poetry, Language and Thought. New York: Haper and Row publishers

Honora, F. na S. Susan 2012. The reporter Who died Probing. Washington: Amazon.

Indede, F. N. 2008. Mabadiliko katika umbo la ushairi na athari zake katika ushairi wa kiswahili. Swahili Forum no. 15 (uk73-94).

Kahigi, K.K na Mulokozi, M. M. 1982. Kunga za ushairi na Diwani ya Yetu. Daressalam. Tanzania Publishing House.

Kezilahabi, E. 1973. The Development of Swahili Poetry: 18th-20th Century. Kiswahili Juzuu 42/2. TUKI, Chuo Kikuu Cha Dar es salaam.

Kezilabi, E. 1974. Kichomi. London: Heineman.

¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬¬ Kezilahabi, E. 1988. Karibu ndani. Dar es salaam: University Press.

Kiango, J. G 2005. Special Survey Article: African Asia no. 5 (uk 157-166).

Kimani, R. 1989. Nguzo za ushairi wa Kiswahili. Nairobi: Macmillan Kenya

King’ei, K na Amata, K. 2001. Taaluma ya Ushairi. Nairobi. Acaccia Stntex Publishers.

Kingei, K. na Kisovi M. 2005. Msingi Wa Fasihi Simulizi. Nairobi: K. L. B.

Kuhenga, C. 1977. Tamathali za usemi. Dar es Salaam: East Africa Literature Bureau.

Leech, G. 1969. A linguistic Guide toEnglish Poetry. London.Longman.

Leech, G. 2008. Language in Literature. London. Pearson Education Limited. M. A. Chuo Kikuu Cha Kenyatta.

Masinde, E. 1992. Mitindo katika mashairi huru. Tasnifu ya M. A. Chuo Kikuu Cha Kenyatta (Haijachapishwa).

Masinde, E. 2003. Ushairi wa Kiswahili: Maendeleo na Mabadiliko ya Maudhui. Tasnifu ya Uzamivu, Chuo Kikuu Cha Kenyatta. (Haijachapishwa)

Mbatia, M. 2000. Mwanadamu na Hadithi Nyingine. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation.

Mberia, K, 2007. Msimu Wa Tisa. Nairobi: Marimba Publication.

Mberia, K. 2001. Bara Jingine. Nairobi: Marimba Publication.

Mlokozi, M. M. 1995. History of Kiswahili poetry. Dar es Salaam: Institute of Kiswahili Research.

Mlokozi, M. M. 1996. Utangulizi wa fasihi ya Kiswahili. Daresalaam: TUKI.

Mohamed, S. A. 1995. Kunga za nathari ya Kiswahili: Riwaya, Tamthilia na Hadithi Fupi: East African Educational Publishers Ltd.

Momanyi, C. 1991. Matumizi ya Taswira kama kielelezo cha uhalisi katika utenzi wa Al-Inkishafi. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu Cha Kenyatta. (Haijachapishwa).

Msokile, M. 1993. Misingi ya uhakiki wa Fasihi. Nairobi: East Africa Education Publishers

Ndumbu M. J. 2011. Matumizi ya Takriri na Sitiari Katika Uteuzi wa Rasttlghuli. Tasnifu ya M. A. Chuo Kikuu cha Nairobi. (Haijachapishwa).

Ndungo C.M. na Wafula, R.M. 1993. Nadharia ya Fasihi Simulizi. Nairobi: University of Nairobi Press.

Ndungo, C. M 2006. The image of women in Afrika oral literature. A case study of Gikuyu oral literature. Gender issues Research Report Sereis, No. 23. (Uk 19-24)

Ndwiga, P. N. 2013. Mitindo Katika Mashairi ya Diwani ya Karne Mpya. Tasnifu ya M.A Chuo

Kikuu Cha Kenyatta. (Haijachapishwa).

Njogu, K. na Chimera, R. 1999. Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Nairobi: Jomo Kenyatta Foundation.

Okwena, S. 2013. Matumizi ya jazanda katika tamthilia tatu za Timothy Arege. Tasnifu ya kufuzu cheti cha uzamili, Chuo Kikuu Cha Kenyatta. (Haijachapishwa).

Oyoyo, J. O. 2013. Uhakiki katika ngano tano za Kiswahili. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu Cha Nairobi. (Haijachapishwa).

Ruo, K. K. I989. Nguzo za ushairi. Nairobi: Macmillan.

Simpson, P. 2004. Stylistic: A Resourse book for Students. London: Routledge.

Senkoro, F. E. M. K. 1988. Ushairi Nadharia na Tahakiki. Dar es salaam: Press and Publicity.

Senkoro, F. E. M. K. 1982. Fasihi. Dar-es – salaam: Press and Publicity center.

Simuyu F. W. 2011. Kitovu cha Fasihi Simulizi: kwa shule, vyuo na ndaiki. Mwanza. Serengeti Bookshop.

TUKI 2004. Kamusi ya Kiswahili sanifu. Nairobi: Oxford University Press.

Wafula, R.M. 1992. Nadharia kama mwongozo wa utunzi na uhakiki katika fasihi. Makala ya

Semina Chuo Kikuu Cha Nairobi. (Haijachapishwa).

Wafula, R. na Njogu, K. 2007. Nadharia za uhakiki wa fasihi. Nairobi. Routledge publishers.

Wambua, M. 2001. Mtindo wa nyimbo za Kakai Kilonzo.Tasnifu ya M. A Chuo Kikuu Cha Kenyatta. (Haijachapishwa).

Wamitala K. W. 2003. Kamusi ya Fasihi: Stilahi na nadharia. Nairobi: Nairobi Focus.

Wamitila K. W. 2003. Kichocheo cha Fasihi na Andishi. Nairobi: Nairobi Focus.

Wamitila K. W. 2008. Kanzi ya Fasihi: Misingi ya uchanganuzi wa Fasihi. Nairobi: Vide Muwa.

Wamtila, K. W. 2002. Uhakikiki wa Fasihi: Misingi na Vipengele vyake. Nairobi: Phoenix

Wanyama, A. 2006. Maudhui na mtindo katika utendi wa wabukusu Khusala Kamuse. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu cha Kenyatta. (Haijachapishwa).

Wekesa, A. 2008. Matumizi ya taswira katika ushairi-huru wa Kiswahili. Tasnifu ya M.A. Chuo Kikuu cha Kenyatta. (Haijachapishwa).

Wellek, R. and A. Warren, 1949. Theoryof Literature. London. Penguin Books, Harmondsworth.

Yule, G. 1986. The study of Language. New York: Cambridge University Press.

Published

2022-07-01

How to Cite

Job, J. N. (2022). Matumizi ya jazanda katika uwasilishaji wa mashairi ya Euphrase Kezilahabi na Kithaka wa Mberia. Research Journal in African Languages , 3(3). Retrieved from https://royalliteglobal.com/african-languages/article/view/861

Issue

Section

Articles