Mchango wa mandhari katika kusawirisha ujumbe wa mwandishi katika riwaya ya Maisha Kitendawili

Authors

  • Shadrack Tete Muia Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya
  • John Mutua Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya
  • Vifu Makoti Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya

Keywords:

mandhari

Abstract

Makala hii inalenga kuhakiki mandhari katika riwaya ya John Habwe; Maisha Kitendawili (2000). Lengo la makala ni kuchunguza na kubainisha jinsi ambavyo mwandishi John Habwe alivyotumia mandhari kuwasilisha ujumbe wake kwa jamii. Pia wahakiki wanamadhumuni ya kubainisha jinsi mandhari mbalimbali yanavyomwezesha mwandishi kufikia lengo lake.  Makala hii inaongozwa na nadharia ya uhalisia ambayo husisitiza kuwa kazi ya fasihi itumie mandhari halisi ambayo si mageni kwa mwandishi na msomaji ili kuwasilisha ukweli wa maisha halisi.

References

Habwe, J. (2000). Maisha Kitendawili. Jomo Kenyatta Foundation.

Msokile, M. (1993). Misingi ya Uhakiki wa Fasihi. Nairobi: East Africa Education Publishers.

Njogu, K. na Chimerah, R. (2008) Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Nairobi. Vide Mulwa Publishers Ltd.

Njogu, K., & Wafula, R. M (2007) Nadharia za Uhakiki wa Fasihi. Kenya: Jomo Kenyatta Foundation.

The Bible Societies (1971). The Holy Bible. New York: Collins Bible.

Wamitila, K. W (2008) Misingi ya Uchambuzi wa Fasihi. Nairobi: Vide Mulwa Publishers Ltd.

Downloads

Published

2023-02-21

Issue

Section

Articles

How to Cite

Mchango wa mandhari katika kusawirisha ujumbe wa mwandishi katika riwaya ya Maisha Kitendawili. (2023). Research Journal in African Languages, 4(1). https://royalliteglobal.com/african-languages/article/view/1052