Uchanganuzi wa mahusiano ya kitabaka katika riwaya za Kuli na Pendo la Karaha

Authors

  • Virginia Wambui Mwathi Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya https://orcid.org/0000-0002-5054-1740
  • Vifu Makoti Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya
  • John Mutua Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya

Keywords:

Tabaka, Mahusiano, unyonyaji, Umarx

Abstract

Jamii tuliyomo, ni yenye mfumo wa kiuchumi unaoruhusu watu wachache kumiliki na kudhibiti njia kuu za uzalishaji mali. Kutokana na sifa hii, matabaka hujitokeza: tabaka la juu ambalo ni la walionavyo, na tabaka la chini ambalo ni la wasionavyo. Matabaka haya hayakosi kutangamana katika mchakato wa uzalishaji mali na vilevile utafutaji wa riziki.Yote mawili hutegemeana. Kutokana na kutangamana kwao, makala hii itachunguza mahusiano ya matabaka haya ni ya aina gani. Mahusiano haya yatachunguzwa kwa kuangalia uhasi ama uchanya wake. Nadharia ya Umarx itaongoza utafiti huu. Ni nadharia inayotawala mijadala yote inayohusu utabaka.

References

Adam, S. (1979). Kuli. Dar es Salaam: Longhorn Publishers

Ball, T na Dagger, R. (2005). Ideals and Ideologies. New York: Pearson Longman

Barry, P. (2009). Beginning Theory: An Introduction to Literacy and Cultural Theory (3rd edition): Manchester University Press

Feur, L. (1959). Marx and Engels: Basic Writings on Politics and Philosophy. New York: Anchor Books

Habwe, J. (2014). Pendo la Karaha. Nairobi: Moran Publishers

Munyasya, F. (2017). “Mchango wa vijana katika kuleta mabadiliko katika Kufa Kuzikana na Kidagaa Kimemwozea.” Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Nairobi (Haijachapishwa)

Odetola and Ademola (1987). Sociology: An Introductory African Text. Hong Kong: Macmillan Publishers

Ritzer, G. (2008). Modern Sociological Theory. New York: University of Maryland

TUKI.( 2004). Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Nairobi: Oxford University Press.

Yunus, M. (2013). “Masuala ya Kisiasa katika Ushairi wa Kandoro: Mifano kutoka Mashairi yake”, Tasnifu ya Uzamifu, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Haijachapishwa)

MTANDAO

https://www. International Labour Organization Conventions between 1919-1960 4th April 2023 2:45 PM

https://www.International Labour Organization. (2019) World Employment Social Outlook: Trends 2019. 3rd April 2023 8:30 AM

https://www. International Labour Organization. (2021) Africa Labour Outlook 2021:Building a Human Centered Future of Work. 3rd April 2023 10:30 AM

https://www.Universal Declaration of Human Rights. (1948) 4th April 2023 12:00 PM

https://www.William Ramirez: Tamaa ya kulipiza kisasi: Septemba 17, 2021

Downloads

Published

2024-04-13

Issue

Section

Articles

How to Cite

Uchanganuzi wa mahusiano ya kitabaka katika riwaya za Kuli na Pendo la Karaha. (2024). Research Journal in African Languages, 5(1). https://royalliteglobal.com/african-languages/article/view/1550