Ruwaza za kimofolojia za majina ya mahali ya Kikamba: Mtazamo wa mofolojia leksia

Authors

  • Peninah Mwende Musyoki Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya
  • Vifu Makoti Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya
  • John Mutua Department of Linguistics and Languages, Machakos University, Kenya

Keywords:

leksia, majina ya mahali, mofolojia, ruwaza, vigezo

Abstract

Makala hii imechunguza ruwaza za majina ya mahali ya Kikamba kwa kuangalia vijenzi mbalimbali vinavyojenga majina hayo. Majina yaliyoshughulikiwa ni sehemu ya data iliyokusanywa kutoka Jimbo dogo la Makueni. Majina ya mahali na vijenzi vyake yamewasilishwa kwa kutumia majedwali na michoro msonge. Matokeo ya uchanganuzi huo yamedhihirisha kuwa asilimia kubwa ya majina ya mahali katika jamii ya Wakamba yameundwa kwa vijenzi mbalimbali ambavyo huungana kuyaunda. Vigezo hivyo vimechanganuliwa kimofolojia. Ukweli huu unapinga madai ya wanamuundo kama Agard (1984) kwamba majina ya mahususi kama ya mahali huundwa kwa mizizi tu, Makala hii imethibitisha kuwa vipo vipashio maalumu vinavyounda majina ya mahali.

References

Agard, F. (1984). A Course in Romance Linguistics: A Synchronic view. USA: Georgetown University Press.

Anido, C. (2016). “A Morpho-semantic Study of Toponyms: Lulogooli Place Names”. University of Nairobi. PhD Thesis. Unpublished.

Buberwa, A. (2010). “Investigating Sociolingiustic Aspect of Place Names in Ruhaya in North-Western Tanzania”. M.A.Dissertation (Unpublished). University of Dar es Salaam.

Cameron, K. (1961). English Place Names. Londan Batsford.

Habwe, J. na Karanja, P. (2004). Misingi ya Sarufi ya Kiswahili. Nairobi. Phoenix.

Kadmon, N. (2000). Toponymy: The Role, Laws and Languages of Geographical Names. New York. Vantage Press.

Karama, M. (2021). “Ni Mvita Ni Mvita? Uchanganuzi wa Toponimu za Mitaa ya Mombasa, Kenya”. East African Journal of Swahili Studies. Vol. 3(1). pp.78-90.

Kirui, R. (2013). “A Morpho-semantic Study of Kipsigis Toponyms”. MA Thesis. Kemyatta University. Unpublished.

Lieber, R. (1990). On The Organization of The Lexcon. New York. Garland Publishing, Ink.

Massamba, D. (2004). Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha. Dar es Salaam: TUKI.

Mgullu, R. (1999). Mtaala wa Isimu, Fonetiki, Fonolojia na Mofolojia ya Kiswahili. Nairobi. Longhorn Publishers.

Mojapelo, M. (2009). “Morphology and Semantics of Proper Names in Northern Sotho”. In South African Journal of African Languages. Vol. 2. Pp. 185-194.

Mphande, L. (2006). “Naming and Linguistic Africanism in African American Culture”. In Selected Proceedings of The 35th Annual Conference on African Linguistics, ed. Mugane, J. pp.104-113. Somerville: MA: Cascadilla Proceedings Project.

Nida, E. (1949). Morphology: A descriptive Analysis of Words. Michigan. Michigan University Press.

Schotman, P. (2003). Place Names and History in Dar es Salaam. Tanzania. Netherlands: Leaden University Press.

Downloads

Published

2024-04-14

Issue

Section

Articles

How to Cite

Ruwaza za kimofolojia za majina ya mahali ya Kikamba: Mtazamo wa mofolojia leksia. (2024). Research Journal in African Languages, 5(1). https://royalliteglobal.com/african-languages/article/view/1553

Similar Articles

1-10 of 15

You may also start an advanced similarity search for this article.