Tasfida kama sababu ya Siti binti Saad kutumia mafumbo katika nyimbo zake za taarab
Keywords:
Siti binti SaadAbstract
Makala hii inaangaza sababu iliyomsukuma Siti kuishia kutumia mafumbo katika nyimbo zake za Taarab. Sababu yenyewe ni mafumbo kama njia mojawapo ya kuendeleza lugha ya tasfida na miiko katika jamii au mafumbo kama njia moja ya mwimbaji kupamba lugha yake ya uimbaji. Lugha hupambwa kwa mafumbo ili wasikilizaji waweze kuifurahia na kuikumbatia. Siti aliremba nyimbo zake kwa ufundi wa tasfida. Mihimili ya nadharia ya Semiotiki na Mtindo ilitumika katika uchanganuzi wa data. Data za msingi zilipatikana kwa kutumia mbinu ya mahojiano na kwa kusikiliza nyimbo. Wafuasi wa nyimbo hizi kutoka Mombasa na Unguja walihojiwa ili kupata ujumbe mahususi kuhusu nyimbo hizi za Siti Binti Saad. Matokeo ya utafiti yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo. Makala haya ni ya manufaa kwa wanafunzi wa fasihi kwa vile yanaonyesha jinsi ya kufasiri mafumbo. Maana mbalimbali za mafumbo ainati yanajitokeza katika makala haya. Aidha, makala haya ni urithi wa fasihi simulizi kwa kizazi kijacho, ni kumbukumbu muhimu kwa nyimbo za mtribu huyu wa Unguja.
References
Ali, A. H. T. (2014) Taashira na Utendaji katika Nyimbo za Harusi za Waswahili, Kisiwani Unguja. Tasnifu ya Uzamifu (Ph. D) Chuo Kikuu Cha Egerton. (Haijachapishwa)
Allen, G. (2000) Intertextuality. Routledge 29 West 35th Street.
Arnold, M. (1849) The strayed Reveller and other Poems. B Fellowers.
Askew, K. M. (2002) Performing the Nation: Swahili Music and Cultural Politics in Tanzania. The university Chicago Press.
Askew, K. M. (2000). ‘Following the Trucks of Beni: The Difussion of The Tanga Taarab Tradition’. Katika Mashindano: Competitive, Music Perfomance in East Africa. Mkuki na Nyota Publishers.
Askew, K. M. (1997) Performing the Nation: Swahili Musical Performance and the Production of Tanzanian National Culture. Tasnifu ya Uzamifu Chuo Kikuu cha Harvard.
Bakhtin M. (1981) Theory of the Text. Routledge.
Balisidya, M. (1987). “Tanzu na Fani za Fasihi Simulizi” katika Temu, C na E. Mulika na 19. Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.
Bathes, R. (1994) The Semiotic Challenge. University of California Press.
Buffon, G. (1930) Buffon’s Discourse on Style. Hatier Publications.
Chiraghdin S. na Mnyampala, M. (1977) Historia ya Kiswahili. Oxford University Press.
Coombes, H. (1953) Literature and Criticism. Chatto and Windus.
Cuddon, J. A. (1998) The Penguin Dictionery of Literary Terms and Literary Theory. Wiley-Blackwell.
Culler, J. The Pursuit of signs. Rotledge and Kegan Paul.
Enon, J. (1998) Education Research Statistics and Measurement. Makerere University.
Fair, L. (2013) Historia ya Zanzibar na Nyimbo za Siti Binti Saad. Twaweza Publishers.
Fair, L. (1998) Music, Memory and Meaning: The Kiswahili Recordings of Siti Binti Saad. Swahili Forum 55: 1-16.
Githonga, W. N. (2013) Uchambuzi Linganishi wa Fani na Maudhui ya Nyimbo za Harusi za Kimeru na za Kiswahili. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Nairobi. (Haijachapishwa).
Hamisi, A. (1981) Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Oxford University Press.
Hartman, C, (1980) Free Verse: An Essay on Prosody. Princeton Uxniversity Press.
Hassan, A. H. (2017) Kuchunguza Fasihi ya Majina ya Mitaa Mjini Unguja. Tasnifu ya uzamili Chuo Kikuu Cha Huria Cha Tanzania. (Haijachapishwa).
Nasra, H. M. (2007) Mfinyazi Aingia Kasri: Siti Binti Saad, Malkia wa Taarab. Mkuki na Nyota Publishers.
Holman, H. (1960) A handbook to Literature. New York. Odyssey.
Issa, M. (1991) Jukwaa la Taarab Zanzibar. Helniski. Mediafrica.
I- Wensu, L. (2002) What can Metaphor Tell us About Culture? National Tainwan University Language and Linguistics. 3: 3: 589-612.
Jilala, H. (2008). ‘The Artist Uses of Metaphors in Constructing Meanings and Messages in New Generation Songs in Tanzania’. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Huria cha Dar ess Salaam. (Haijachapishwa).
Kahigi, K. K na Mulokozi, M. M. (1982) Kunga za ushairi na Diwani ya Yetu.Tanzania Publishing House.
Kaneko, M. (2012) Metaphor and Symbol. University of the Witwatersrand
Kea, P. (2006) Usemezano katika nyimbo za Taraab. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Kenyatta. (Haijachapishwa).
Kimani, R. (1989) Nguzo za Ushairi wa Kiswahili. Macmillan Kenya.
King’ei, K. (1993) Language, Culture and Communication: The Role of Swahili Taarab Songs in Kenya 1963-1990. Tasnifu ya Uzamifu Chuo Kikuu cha Havard.
King’ei, K na Amata, K. (2001) Taaluma ya Ushairi. Acaccia Stntex Publishers.
Kingei, K. na Kisovi M. (2005) Msingi Wa Fasihi Simulizi. K. L. B.
Khamis, A. (1981) Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Oxford University Press.
Khamis, S. A. M (2004) Versality of Taarab in Relation to Local and Global Influences. Swahili Forum 11. P. 3-37.
Khatib, M. (1992) Taarab Zanzibar. Tanzania Publishing House.
Kothari, R. (1990) Research Methodoly: Methods and Techniques 2 edition, New Delhi. New Age International Ltd.
Lakoff, G. and Jonson M. (1980) Metaphors we Live by. University of Chicago Press.
Lanham, R. (1983) Analyzing Prose. New York.
Leech, G (2008) Language in Literature. Pearson Education Limited.
_________ (1969) A linguistic Guide to English Poetry. Longman.
Leech, G. na Short, M. (2007) Style in Fiction: A Linguistic Introduction to Fictional Prose. Longman Limited.
Makhulo, E. (2015) Mamlaka na Itikadi katika Nyimbo za Taarab. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Nairobi. (Haijachapishwa).
Masinde, E. (1992) Mitindo katika Mashairi Huru. Tasnifu ya M. A. Chuo Kikuu Cha Kenyatta. (Haijachapishwa).
Mlokozi, M. M. (1996) Utangulizi wa fasihi ya Kiswahili. TUKI.
Mnenuka, A. (2012) Tofauti ya Dhana ya Mwanamke katika Jamii: Mifano kutoka katika Taarab (mipasho) na Nyimbo za Kibena. Swahili Forum 19: 23-44.
Mturo, G. (2011) Dhimaya Semi Zilizoandikwa katika Daladala: Uchambuzi wa Vipengele vya Lugha na Dhamira. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. (Haijachapishwa).
Mohamed, S. A. (1995) Kunga za Nathari ya Kiswahili: Riwaya, Tamthilia na Hadithi Fupi. Jomo Kenyatta.
Msokile, M. (1993) Misingi ya Uhakiki wa Fasihi. East Africa Education Publishers
Mukopi, M. (2005) Hadithi Fupi ya Kisasa za Kiswahili kama Utanzu Mahuluti.Tasnifu ya Chuo Kikuu Cha Kenyatta. (Haijachapishwa).
Munyao, K. J. na Mwangi, K. P. (2011) Mtindo na Maudhui katika Nyimbo za Msanii John De’Mathew Nchini Kenya. Mulika 35:114-134
Muusya, K. (2012) Mandari katika Hadithi Fupi.Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu Cha kenyatta (Haijachapishwa).
Mwania, J. (2007) Usambamba katika Ushairi Huru.Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Kenyatta. East African Educational Publishers Ltd.
Mzee, A. F. (2011). Athari za Nyimbo za Taarab ya Mipasho kwa Jamii ya Wazanzibar. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu Cha Dodoma. (Haijachapishwa).
Ndungo, C. M. (2006) The Image of Women in Afrika Oral Literature. A Case Study of Gikuyu Oral Literature. Gender Issues Research Report Series, No. 23.
Ndwiga, P. N. (2013) Mitindo Katika Mashairi ya Diwani ya Karne Mpya. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Kenyatta. (Haijachapishwa).
Njogu, K. na Chimera, R. (1999) Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Jomo Kenyatta Foundation.
Nguti, M. (2013) Ulinganishaji wa Matumizi ya Tasfida za Muktadha wa Nyumbani katika Lugha ya Kikamba na Kiswahili. Tasnifu ya Uzamili Chuo Kikuu cha Nairobi. (Haijachapishwa).
Ntarangwi, M. (2003). Gen der Performance and Identity: Understanding Swahili Culture Realities through songs. Africa World Press.
Ntarangwi, M. (2001) A socio-historical and contextual analysis of popular musical performance Among the Swahili of Mombasa. Kenya, Cultural Analysis 2 (pp.1-37)
Nyonje, J. W. (2016) Mwonoulimwengu Wa Waswahili: Jinsi Inavyojitokeza katika Ngano. Tasnifu ya M. A. Chuo Kikuu Cha Nairobi. (Haijachapishwa).
Ojode, O. J. (2017) Uchanganuzi Kipragmatiki wa Sitiari katika Nyimbo za Taarb: Mfanano wa Mzee Yusuf na Mwanahawa Ally. Tasnifu M. A Chuo Kikuu cha Kisii. (Haijachapishwa).
Ortony, A. (1980) Understanding Metaphors. University of Illinois.
Roberts, S. (1967) Diwani ya 3: Wasifu wa Sinti Binti Saad. Printpak Tanzania Limited.
Roberts, S. (1991) Wasifu wa Sinti Binti Saad. Mkuki wa Nyuki.
Ruo, K. K (1989) Nguzo za Ushairi. Macmillan.
Saleh, S. S. (1980) Taarab Unguja (Taarab in Tanzania). Lugha Yetu 37: 35-47
Sanga, I. (2016) The Archiving of Siti Binti Saad and the Her Engagement with Music Industry
in Sharban Robert’s Wasifu wa Siti Binti Saad. 2: 33-44
Sengo, T. S. Y. (2009) Sengo na Fasihi za Kinchini. AERA Kiswahili Research Products.
Senkoro, F. E. M. K. (1982) The prostitute in African Literature. Dar es Salaam University Press.
Senkoro, F. E. M. K. (1988) Ushairi Nadharia na Tahakiki. Dar es Salaam. Press and Publicity center.
____________ (1982). Fasihi. Dar-es – Salaam. Press and Publicity Center.
Simpson, P. (2004) Stylistic: A Resourse book for Students. London.Routledge.
Sheikh, S. (1994) Yanayoudhi kuyaona mafumbo na vijembe vya Kiswahili AAP (7-11) Swahili-Kolloquium.
Steen, G. (2015) Metaphor and Style through Genre, with Illustrations from Carol Ann Duffy’s Rapture. Bloomsbury and Diana logo. New York.
Syamba, B. (1995) Mwongozo wa Shamba la Wanyama. East Africa Publisher. Nairobi.
Traore, F. (2004) Continuity and change in Zanzibar Taarab Performance and poetry. Swahili Forum 11:75-81
Trop, J. (1993) Women and Africanization of Taarab in Zanzibar. (Ph. D). Dissertation. School of Oriental and African Studies.
TUKI (2004) Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Oxford University Press.
Vierke, C. (2012) Mafumbo: Considering the Functions of Metaphorical Speech in Swahili
Contexts. Annual Conference on African Linguistics. 42: 278-290.
Wamitila, K. W. (2002) Uhakiki wa Fasihi: Misingi na Vipengele vyake. Phoenix.
___________ (2003). Kamusi ya Fasihi: Stilahi na nadharia. Nairobi Focus.
____________ (2003) Kichocheo cha Fasihi na Andishi. Focus.
___________ (2008) Kanzi ya Fasihi: Misingi ya Uchanganuzi wa Fasihi.Vide-Muwa.
Wardhaugh, R. (2002) An Introduction to Sociolinguistics. (4th Ed). Oxford: Blackwell Publishers.
Published
Issue
Section
License
Copyright (c) 2022 Job Juma
This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License.
This open-access article is distributed under a Creative Commons Attribution (CC-BY) 4.0 license.
You are free to: Share — copy and redistribute the material in any medium or format. Adapt — remix, transform, and build upon the material for any purpose, even commercially. The licensor cannot revoke these freedoms as long as you follow the license terms.
Under the following terms: Attribution — You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use.
No additional restrictions You may not apply legal terms or technological measures that legally restrict others from doing anything the license permits.