Ubainishaji wa Vigezo vya Utoaji wa Toponemia Katika Jamii ya Wakamba: Mfano Kutoka Jimbo dogo la Makueni, Kenya
Main Article Content
Abstract
Makala hii inachanguza vigezo vya utoaji wa toponemia katika jamii ya Wakamba kwa kurejelea mfano kutoka Jimbo dogo la Makueni nchini Kenya. Data iliyotumika ilikusanywa kutoka kata zote kumi na moja (11) za jimbo dogo la Makueni. Data hiyo ilipatikana kutoka kwa wasailiwa ishirini na wawili (22) waliokuwa na umri wa miaka sitini (60) na zaidi. Wazee hao walichaguliwa kwa usampuli nasibu. Sampuli hii ya wazee ilipatikana kwa urahisi kwa kuwa majina ya wazee hao yamehifadhiwa katika ofisi za machifu kwa sababu ya rekodi za marupurupu ya uzeeni wanayopokea kutoka kwa serikali kuu. Uchunguzi huu ulibaini kuwa toponemia katika eneo teule zilitolewa kwa kuzingatia vigezo kama vile sifa za kimaumbile, shughuli za kijamii, matukio ya kihistoria na vingine. Kazi hii itatoa marejeleo muhimu kwa watafiti wa baadaye watakaoshughulikia vipengele tofauti vya Onomastiki katika jamii ya Wakamba na jamii nyingine.
Downloads
Article Details
This work is licensed under a Creative Commons Attribution-NonCommercial-ShareAlike 4.0 International License.
This open-access article is distributed under a Creative Commons Attribution (CC-BY-NC-SA) license.
You are free to: Share — copy and redistribute the material in any medium or format.
Adapt — remix, transform, and build upon the material for any purpose, even commercially. The licensor cannot revoke these freedoms as long as you follow the license terms.
Under the following terms:
Attribution — You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use.
No additional restrictions You may not apply legal terms or technological measures that legally restrict others from doing anything the license permits.
How to Cite
References
Buberwa, A. (2011). Viambishi Ngeli Katika Nomino za Pekee: Mifano Katika Majina ya Pekee ya Kiaya, Kiswahili Juz. 74. Kur. 41-48.
Crystal, D. (1987). The Cambridge Encyclopedia of Language. Cambridge. Cambridge University Press.
Habwe, J., Karanja, P. (2007). Misingi ya Sarufi ya Kiswahi. Nairobi. Phoenix Publishers.
Kahigi, K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili sanifu katka Kioo cha Lugha. Jarida la Kiswahili na Fasihi. Juzuu la 5. Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Karama, M. (2021). “Ni Mvita ni Mvita? Uchanganuzi wa usuli wa Toponimu za Mitaa ya Mombasa, Kenya.” East African Journal of Swahili Studies. Vol. 3(1) (pp. 78-90).
Kihore, P. na Wenzake, (2004). Sarufi Maumbo ya Kiswahili Sanifu: Sekondari na Vyuo, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.TUKI.
Kirui, R. (2013). “A Morpho-semantic Study of Kipsigis Toponyms”. MA Thesis. Kenyatta University. Unpublised.
Kothari, C. (2004). Research Methodology: Methods and Techniques. New Delhi. New Age
Masamba, D. (2004). Sarufi Misingi ya Kiswahili Sanifu. Nairobi. Phoenix. Publishers.
Mathooko, P.M. (2004). “An Integrated Perspective of Language Accomodation; A case study of Kikamba and Kitharaka”. PhD Thesis, Kenyatta University. Unpublished.
Michemi, D. et al, (2022). “Ubainishaji wa Vigezo vya Utoaji wa Toponemia Katika Jamii: Mfano Kutoka Jimbo dogo la Maara Nchini Kenya”. East African Journal of Education, Humanities and Literature (Vol. 5/ Issue -9), Chuka University. (pp. 176-184).
Mjapelo, P. (2009). “Namna Ngeli Zinavyosaidia Kuunda mMajina ya Watu.” Tasnifu ya Uzamili. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Unpublished.
Musyimi, D. (2011). “Maana ya Majina ya Watu Katika Jamii ya Wakamba”, Tasnifu ya shahada ya uzamili, Chuo kikuu cha Kenyatta. Nairobi. New Age International Publishers Ltd.
Mwanamseke, F. (2011). “Uainishaji wa Ngeli Katika Lugha ya Kibena.” Tasnifu ya Uzamili. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Haijachapishwa.
Raybum, A. (2010). Place Names. The Canadian Encyclopedia - Historical- Dominion.
Rugemalira, J. (2009). A Grammar of Runyambo, Dar es Saalam: Language of Tanzania Project. University of Dar es Salaam.
Rye, J. (2006). A Popular Guide to Norfolk Place Names. Guist Bottom. Larks Press.
Sperber, D. na Wilson, D. (1995). The Handbook of Pragmatics. London. Blackwell.
Wambua, R. (2013). WONI WITU: The role of the Akamba in the making of Kenya. Nairobi. Edtech Strategies Ltd.