Taswira ya tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi katika tamthilia ya Kiswahili: Mfano wa Mashetani, Pungwa, Ngoma ya Ng’wanamalundi na Mashetani Wamerudi
Main Article Content
Abstract
Makala haya yanachunguza tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi na utamaduni wa kiafrika zilizotumiwa kiubunifu na waandishi katika utunzi wa tamthilia ya Kiswahili. Makala yanabainisha tanzu na tamaduni za kiafrika husika katika tamthilia za Mashetani, Pungwa, Ngoma ya Ng’wanamalundi na Mashetani Wamerudi na kufafanua mbinu walizozitumia watunzi katika kusababisha na kuibua maana ya ndani ya kazi zao kupitia kwa ejenzi wa taswira za kimaana. Makala haya vilevile yanashughulikia taswira zinazojengwa na tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi na tamaduni za kiafrika zilizotumika katika utunzi wa tamthilia ya Kiswahili. Tamthilia nne za Mashetani, Pungwa, Ngoma ya Ng’wanamalundi na Mashetani Wamerudi zimehakikiwa kwa misingi ya nadhadharia za Uhistoria mpya iliyoasisiwa na Greenblat na na nadharia ya Mwingilianomatini iliyoasisiwa na Julian Kristeva. Tanzu za sanaa za maonyesho ya jadi na tamaduni za kiafrika zilizotumiwa katika utunzi wa tamthilia zetu teule zilibainiswa na kisha tukazihakiki kubaini taswira zinazojengwa kupitia kwa matumizi ya aina hiyo katika kujenga dhamira za mwandishi na umbo zima la tamthilia ya Kiswahili.
Downloads
Article Details
This open-access article is distributed under a Creative Commons Attribution (CC-BY-NC-SA) license.
You are free to: Share — copy and redistribute the material in any medium or format.
Adapt — remix, transform, and build upon the material for any purpose, even commercially. The licensor cannot revoke these freedoms as long as you follow the license terms.
Under the following terms:
Attribution — You must give appropriate credit, provide a link to the license, and indicate if changes were made. You may do so in any reasonable manner, but not in any way that suggests the licensor endorses you or your use.
No additional restrictions You may not apply legal terms or technological measures that legally restrict others from doing anything the license permits.
How to Cite
References
Abdallah, A. (1998 b). “Tambiko”. Karatasi ambalo halijachapishwa. Zanzibar.
Hussein, E. (1971). Mashetani. Nairobi. Oxford University Press.
Jauch, H., (2001). Playing the Globalisation Game: The Implications of Economic Liberation for Namibia. Labour Resourse and Research Institute (LaRRI)
King’ei, G. K. “Matumizi ya Lugha katika Maandishi ya Ebrahim Hussein”. Katika, Mulika. (1987: Juzuu 18). Institute of Kiswahili Research. University of Dar es Salaam.
King’ei, G. K., na Kisovi, C., (2010). Misingi wa Fasihi Simulizi. Nairobi. Kenya Ltd Bureeau.
Kristeva, J., (1980). Desire in Language: A semiotic Approach to Literature and Art. Columbia University Press. New York.
___________, (1984). Revolution in Poetic Language. New York. Colombia University Press.
Mbogo, E. (1999). Ngoma ya Ng’wanamalundi. Nairobi. Standard Textbooks Graphics and Publishing.
Mohamed, S. A. (1974). Pungwa. Nairobi. Longhorn.
____________ . (2016). Mashetani Wamerudi. Barabara ya Sir Apollo Kaggwa, Kampala; Barabara ya Airport, Remera, Kigali. Sportlight Publishers (EA) Suppliers Ltd.
Mugenda, O. M., na Mugenda, A. M. (1999). Research Methods: Quantitative and Qualitative Approches. Acts Press.
Njogu, K. na Chimera, R., (2011). Ufundishaji wa Fasihi: Nadharia na Mbinu. Jomo Kenyatta Foundation. Nairobi.
Ngesa, A. K., Matundura, E. na Kobia J. (2015). “Mwingilianomatini katika Tamthilia za Kiswahili: Mashetani na Kijiba cha Moyo. Katika, Swahili Forum.
Noordin, M. (2006). “Simulizi maalumu ya Pepo kama ufasiri wa fasihi simulizi”. Katika, Njogu, K. et al (Wahariri), (2006). Fasihi Simulizi ya Kiswahili. Nairobi. Twaweza communications.
Offiong, D. A., (2001). Globalization: Post-Neodependency and Poverty in Africa. Fourth Dimention Publishing Co. Enugu Nigeria.
Ruo, K. R., (1989). Nguzo za ushairi wa Kiswahili. Macmillan Publishers. Nairobi.
Senkoro, F. E. (1987). Fasihi na Jamii. Dar es Salaam. Press and Publicity centre.